AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Darassa – Hasara Roho

Darassa – Hasara Roho

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Ah, kama unataka kiki kwa piki piki
Mara black mara white vipi
Kama unatikisa kiberiti
I play no game am sory rafiki
Ukija kama upepo uta pepea
Ukijifanya una mapepo tuna kemea
Kama unataka mchezo kawashe runinga
Sikuizi hakuna mta anataka ujinga
Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi
Meli inaelea feli inazama shilingi
Haraka na harakati za ko za pimbi
Unataka kucheza wewe na ushike firimbiBinadabu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi
Vituvingine vingienda, ivirudigi rivasi kama samaki
Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati ehDunia iweke tuzo za wachukiaji
Bongo kunawatu wana vipaji
Narusha madongo kwenye maji
Bora upige michongo utanipa midadi
Mara chenga mara no network
Zigi zaga vitu avieleweki
Life sikuizi imezidi kua complicate
Ukichanganya na mambo ya internet
Jelaaa… kesho utatukana picha ukutani
Atutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia juu chini kamatia
Mzigo wa abiria dereva na gia

Updated: March 17, 2020 — 11:44 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3