AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Goodluck Gozbert – Nibadilishe

Goodluck Gozbert – Nibadilishe

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Kwanza nimenyoa deni
Napenda sana mitindo ya nywele
Kuruka usiseme
Viwanja vipya ninakaribishwaKwenye kura saa za Insta nakesha
Nikitafuta tena mabaya
Nikisikia mabata nataka
Nalitafuta tena nalipaWala silipi maden, Nikikopa na beti
Wala sionagi soni
Fungu la kumi kwangu hio ni stori
Nasubiri jumapili(Sunday)Hata najua sina imani, japo naitikia Amina
Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali
Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua
Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwaOooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaaEeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilisheKuna venye hii movie inanichoma
Hasa ile parapanda
Ikipigwa wakizika
Na appear, sirudii kosaManeno yananichoma
Binadamu ni maua
Ikipita wiki moja masikini
Nasahau kabisaOooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa
Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia
Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaaEeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilisheNakupa maisha na moyo, utakase
Ninapoanguka nishike nisimame
Nakupa maisha na moyo, utakase
Ninapoanguka nishike nisimameEeh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe
Oooh niko na ubaya, niko na ubaya
Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe

Updated: April 4, 2020 — 2:10 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3