AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Lava Lava – Dede

Lava Lava – Dede

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Wasafi…
Ayo Laizer…
Wasafi Records
Niamini eeh, mimi mwingine sina darling
Na sikufunzwa mbaya tabia
Mahaba niuwe mimi kwako chali chali
Ndani donda funza nishagajifia
Bora kukueleza imenishinda siri
We ndo umeniweka kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili
Chonde usije nieka visanganiNawe chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuri na macho fumba
Usije kutamani mabedui
Mabedui iiiDede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi sitaki mwingine you are my only oneNatamani makosa yasingekuwepo
Tusikosane eeh baby yoyo
Na samahani ingekuwa kama kichekesho
Tuchekeshane eeh
Oh bila choyo
Naweka wazi shahidi moyo wangu
We ndo fundi wa raha zangu
Kachumbari uzandu uzandu kwako bwerere
Mkuna nazi wali kwa matandu
Mi pweza na ngurupandu
Unavyomix na chachandu sinaga kwereBasi chunga kauli zinapoza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuri na macho fumba
Usijie kutamani mabedui
Mabedui iiDede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Sitaki mwingine you are my only one
Dede dede
Simama wakuone you are my number one
Dede dede
Mi sitaki mwingine you are my only one

Updated: March 17, 2020 — 6:39 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3