AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Mwasiti – Kaa Nao

Mwasiti – Kaa Nao

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Ooo ooh.
Mmmmh…Kama sio wewe, nisingekuwa hapa.
Kuficha upele, nisikune napowashwa.
Kwahiyari yangu na mapenzi yangu.
Furaha ya mwewe, wapiganapo panzi porini.
Bora mwenyewe, kuliko penzi lako asilani.Kwenye mapenzi nilizaliwa, isiwe sababu uninyanyase.
Kunipa sumu, ninywe maziwa.
Kwenye mapenzi bora nipotee.Kama mapenzi ni adhabu,
Moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kungoja ngoja.
Moyo wako kaa nao…
Kama mapenzi ni adhabu,
Moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kuuguza donda.
Moyo wako kaa nao…
Kaa nao, kaa nao
Kaa nao, moyo kaa naoMaumivu kuyashinda ni kazi,
Bora kuridhisha moyo.
Nisubiri thawabu labda utanisahau ila ni kuulaghai moyo.
Walisema mengi, kwake mi siwezi bila wewe.
Ukaniumiza mengi, kwa imani sitoweza mwenyewe.
Nakubali kweli mapenzi maua,
Yanachanua na kunyauka.
Kwa pressure usijeniua,
Yakanifika, roho ikan’toka.Kwenye mapenzi nilizaliwa, isiwe sababu uninyanyase.
Kunipa sumu, ninywe maziwa.
Kwenye mapenzi bora nipotee.Kama mapenzi ni adhabu,
Moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kungoja ngoja.
Moyo wako kaa nao…
Kama mapenzi ni adhabu,
Moyo wako kaa nao.
Nimechoka Kuuguza donda.
Moyo wako kaa nao…
Kaa nao, kaa nao
Kaa nao, moyo kaa naoOuuuu…
Mmmmh…Moyo wako kaa nao…
Nimechoka kungoja…
Moyo wako kaa nao…
Moiyoo, Moiyyyoo,
Kaa nao…
Moyo wako kaa nao…
Nimechoka kuuguza doondaa.
Moyo wako kaa nao.
Moiyoo, kaa naoo.

Updated: March 18, 2020 — 7:32 am

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3