AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Nandy – Ninogeshe

Nandy – Ninogeshe

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Aai ni ww
Ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewe
Nikifa uzikwe na mieOoh baby we ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe ninogeshe baby
Baby ninogesheMakwachukwachu kushea na watu sitak ooh baby
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki
SiwezBasi ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogeshe ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogesheRaha, raha tupu kupendana
Nawewe raha tupuUnanipaga furaha hvi
Ukiniacha utanipa jaka la roho
Nipe mimi kwengine we useme no
Mshinde ibilisi kwenye kichwa chako
OoohooohooohMi mwenzako mkiwa baba
Mkiwa wa mapenzi baba
Usinione nalia sana
Nalilia mapenziChochote utachonambia
Mi nitaridhia baba
Hata ukiwa mbali
NitasubiriaBasi ninogeshe
Ninogeshe baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe ninogeshe baby
Baby ninogesheRaha, raha tupu kupendana na wewe
Raha tupuTusiwe Tyson Naivanda kisa kosa
(Kupendana na wewe)
Presha kupanda kushuka kisa nini
(Kupendana na wewe)
Mi mwenzako nakupenda nafurahi
(Kupendana na wewe)
Nivike Pete ya roho isiyotokaRaha, rahatupu kupendana na wewe
Raha tupu

Updated: March 10, 2020 — 3:07 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3