AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Nandy – Wasikudanganye

Nandy – Wasikudanganye

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
Labda wakuambie sina ujanja juu yako
Wasikudanganye watakupa utakacho chochote
Wataitoa wapi furaha yako
Maana wabaya hawatoki mbali
Jirani yako we ndio anapenda usile
Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea
Hawatokujali kipindi ambacho mawazo
Yanafanya usile watakutupia mbaliSi ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
Kuninginia si tumetoka mbali
Mazoea na ushakuwa mauaMoyo moyo wangu mimi
Unauendesha moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
Auuu uuh moyo moyo Usiwaone piaKukosa majaribu moyo usije
Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu
Kisa upendo furaha kuichua
Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
Siku ntakosea kukuacha
Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
Ila usifanye kama fimbo
Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yanguSi ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
Kuninginia si tumetoka mbali
Mazoea na ushakuwa mauaMoyo moyo wangu mimi
Unauendesha moyo moyo
Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
Auuu uuh moyo moyo Usiwaone piaOuuhh moyo moyoo huu moyo
Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu
Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby

Updated: March 17, 2020 — 10:37 am

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3