AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz – Katika

Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz – Katika

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Yeee yeah
Ooh nah
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Nina midadi ka ya rhumba
Kibao kata ukinyonga ooh nah
Mfukoni nina mavumba rungu mi chini nina sunta eeeeh
Yaani bo bo bo bo
Kananikoshaga roho oh oh
Yani nasimama de de de de deee
Kakitingisha wowo wowowoo
Baby gal dance for me one time (secreto)
Miuno feni kunata (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)
Zile za kibao kata (secreto)
Baby gal dance for me one time (secreto)
Miuno feni kunata (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)
Yalala laa lala lala
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katikaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Yaani katoto kandi kako ndi ndi ndi
Kamekazika ni ngi ngi ngi
Nyuma mbwi kako mbwi mbwi mbwi
Kana misifa sha ngi ngi ngi
Nilikavizia kitambo (aah yeah)
Leo kamenasa chambo (aah yeah)
Nikampakia na mgando (aah yeah)
Kajegeje ka rambo (aah yeah) (boombah)
Kana michezo ya ngomani sindimba lizombe
Nami nampatia za pwani muhogo wa jang’ombe
Yani eh eh eh eh
Kananikoshaga roho oh oh
Huwaga nasimama dede dede de
Kakitingisha wowo wowo wo (woyaaa)
Ooh namtengea yani siwezi kutembea
Che cheme nachechemeaa
Yani hadi nalegea
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katikaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Maumivu naugulia mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu nang’ang’ania ndizi kwa nyama napata mchecheto
Nakuna nazi kwa mkongojo (aah yeah)
Naunga mchuzi wa sotojo (aah yeah)
Uno la rosti rojorojo (aah yeah)
Mikunjo flani wabogojo (aah yeah)
Kibao kata tetemee tetemee
Kilingeni kuzama uchutamee
Huwezi pata we mpaka usimamee
Haichagui mwembamba au mnene
Nikalaze kwa bed kitanda eeh (kwa ghetto)
Nikachezeshe samba eeh (loketo)
Na kalivyo na body kinanda (sepetu)
Tunguli zimenibamba (mobeto) (maama)
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katikaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa
Katika katikaaa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3