AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Nyashinski – Bebi Bebi

Nyashinski – Bebi Bebi

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Only you bebi
Only you bebi
You’re my only one
My only one bebiSome say a fool never changed his mind well maybe
Baby I’m a fool for you
Mapenzi kipofu ukipenda maovu huoni
Ooh love is blind never seem so true
When I’m broke natumianga bro please call me
Akipiga naomba dooh…
Mbona kuna message inajitumanga send me money
Tukate long story short yoyooo
Vumilia na mimi, please don’t leave me
Don’t let money the fool you
Sponsors just wanna use you
Namwambia mtoto wa mama asiharibikeee
Ananishoo ni biasharaa tu
Na siwezi mshibishaa na pangangaa tu
Na mwezi ukiisha sina ujanja tu
Na renti ikibishwa huanga blunder tuBebi Bebi Bebi
Kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wehBebi me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa tu
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau mahali nimetoka na wehOnly you bebi
Only you bebi
You’re my only one
My only oneGirl I wanna,
Girl I wanna
Girl I wanna take you to my mama show her you’re the one for me
I’ll never ever never ever leave you
Believe me when I say you’ll forever be my queen
Yule nala naye kwa dhiki ntala naye kwa faraja
Ahadi yangu ndio hiyo
Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa
Wou vumilia na mimi please don’t leave me
Don’t let the money fool you
Sponsors just wanna use you
Mtoto wa mama usiharibike.Bebi Bebi Bebi
Kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wehBebi Bebi Bebi
Kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wehOnly you bebi
Mahali nimetoka na wewe
Only you bebi
Only you bebi
You’re my only oneOkay sa naicheza ka bubu
Baby no more talk just do
Weh ni mtamu ka mabuyu
Hujawai kuwa chini, uko juu
Forever be my only one
Tukiachana itaniuma na
Najua kuna nigga anangoja nichome aruke ndani ka superstar
Usiache ihappen, ishikilie ka Siri
Ukimake it life then nishikilie pia mimiYou make me whole Bebi
Don’t let me go stay beside me
You make me go plead
How will my heart beat without youBebi Bebi Bebi
Kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wehBebi
Kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

Updated: March 10, 2020 — 8:13 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3