AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Vanessa Mdee – Moyo

Vanessa Mdee – Moyo

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Vee Money on the track, yeah
It’s S2kizzy, babyMoyo unanikosea, moyo unanikosea
Nakaa na wewe, natembea na wewe
Nalala na wewe, bado unanikoseaZungumza nami mchana (La-la-la)
Zungumza nami usiku (La-la-la)
Kama haifai hata ndotoni tu
(Mmh-mmh)Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwishaMoyo unanikosea, moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea (‘Asa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea (‘Asa mbona unanitorture?)Umeniadhibu chozi tiba yangu (We haya)
Umeziharibu zote hisia zangu (Basi sawa)
Moyo mbona umenitoa chambo?
Moyo we hunanga chanjo
Moyo umenifanya pango
Moyo huishiwi mipangoWaongo wote unawaleta kwangu
Wanaocheati nao ni wa kwangu
Walevi wote nao ni wa kwangu
Mbona unajitesa?Usishindane na kichwa (Aah)
Tumalizane yakaisha (Aah)
Moyo nirudishie maisha (Aah)
Mtupu, mtupu nimekwishaMoyo unanikosea, moyo unanikosea
Moyo unanikosea, moyo
Moyo unanikosea
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea (‘Asa mbona unanitorture?)
Moyo unanikosea (We moyo)
Moyo unanikosea (‘Asa mbona unanitorture, moyo?)We moyo ‘asa mbona unanitorture? (Mbona unanitorture?)
We moyo, ‘asa mbona unanitorture?
We moyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3